AMANDA AFUNGUKA KUHUSU MASTAA WABWIA UNGA
AMANDA Poshi, staa wa sinema za Kibongo, amewabwatukia baadhi ya
mastaa wanaojitangaza kuwa wanatumia madawa ya kulevya baada ya
kuathirika kuwa ni wanafiki.
AMANDA
Alisema angewaona wana hoja kama wangejitangaza kipindi walipoanza
kuyatumia kuliko wakiona yanawashinda ndiyo wanakimbilia kwenye vyombo
vya habari kuomba msaada.
“Yaani kila siku wanaambiwa kuwa usipite hapa kuna hatari lakini wao wanakimbilia kwa siri, huu si upuuzi, wakitaka wakiwa katika hatua ya mwanzo wajitangaze ili tuweze kuwasaidia mapema,” alisema Amanda ambaye kwa upande wake alidai kuwa hajawahi kutumia madawa hayo tangu azaliwe.
Chanzo:GPL

No comments