Filamu Mpya ya ‘Mungu Nisitiri’ Kurushwa Leo Ndani ya Sibuka Maisha
Ni stori inayozingumzia mwanamke aliyeterekezwa na mumewe baada ya dhiki na taabu .Ni kutokana na shida alizokuja kupata, anajikuta akifanya vitendo vya ajabu visivyofaa kwa jamii ili amuokoe bintiye. Je. Ni nini kilitokea?
Fuatilia mkasa huu.
STORY:
SAID MKUKILA
STEPS ENTERTAINMENT
Fuatilia mkasa huu.
PRODUCER:
AISHA BUI
WAHUSIKA:
AISHA BUI
HEMED SULEIMAN
BI MWENDA
HAJI ADAM
BI HINDU
Na wengine kibao
EXECUTIVE PRODUCER
Post Comment
No comments