UVUMI KUHUSU DAVID DE GEA
Kwa mujibu wa vyanzo vya Hispania, kwa miezi mingi sasa, tangu De Gea akubali mkataba mpya United, aliingiza kifungu kinachoiruhusu Real Madrid kumnunua kwa euro milioni 50 kabla ya Juni 15, 2016.
Jumatano, gazeti la mjini Madrid AS limeripoti kuwa David De Gea hataki kuondoka Manchester United kwenda Real Madrid na Real Madrid hawatajisumbua kumsajili hali kadhalika.
No comments