RADWANSKA ATUPWA NJ'EE MICHUANO YA AEGON
Mchezaji Tenisi namba tatu Duniani Agnieska Radwanska ametupwa nje ya Michuano ya Tenisi ya Aegon mjini Birmingham na Mmarekani Coco Vandeweghe kwa kufungwa seti 7-5 4-6 6-3.
Agnieska Radwanska
Mwingereza Johanna Konta na Misaki Doi mchezo wao utachezwa leo alhamisi baada ya kuharishwa jana kutokana na hali ya hewa ya mvua. Naye Naomi Broady na Tara Moore wamepoteza mechi zao kwa kufungwa na daria Gav-rilova na Tamira Pazek. Huku Andy Murray leo akitaraji kuuumana na Aljaz Bedene katika ukumbi wa Malikia mjini London.
No comments