ITALIA WAIFUNGA UBELGIJI MABAO 2-0
Italia imefanikiwa kuwa vinara wa kunde
E kwa ushindi walio upata dhidi ya Ubelgiji mabao pekee ya Emanuele Giaccherini
na Graziano Pelle yalitosha kuwa fanya vijana wa Conte kuibuka
kidedea.
Reviewed by Unknown
on
08:53:00
Rating: 5
No comments