Headline

EXCLUSIVE INTERVIEW FROM DAR TO THAILAND


Mtanzania Hamis Mroki, mmoja kati ya watanzania ambao hawafahamiki sana wanaocheza soka la kulipwa nj'ee ya mipaka ya Tanzania.

Nilipata fursa ya kufanya naye mazungumzo japo kulikuwa na changamoto ya yeye kuwa bize na istoshe kunakasumba ya muda maana yupo Thailand kwakina Ong-Bak tumepishana nao masaa kadhaa ikiwa huku ni 9:00 am Dodoma (Tanzania) huko ni 1:00 pm Bangkok (Thailand).
Anacheza timu iitwayo Kabin United jina lake la utani ni Hanuman maana yake ni mungu Hindu na mja mkereketwa wa mungu Rama.

Si timu kongwe ilianzishwa mwaka 2010 na kwa sasa ipo Ligi Daraja la Pili yani Regional League Division 2.
Japo kwa ufupi ila mazungumzo yetu yalikuwa hivi;-
‪#‎Eliya‬ ............ nafasi yako ikoje kwenye kikosi cha kwanza?
‪#‎Mroki‬ kweny team nitegemezi ndio only black nae anza game zote wapo wa cote d'ivory na ghana but naheshimika kwenye team cos all time im fit na uwezo nqonyesha
#Eliya kabla ya kuwa mchezaji wa Kabin ulikuwa timu gani ukiichezea?
#Mroki before nlishaenda Cyprus na nlipata team nzur mbili ila Agent alizingua maagent wanazingua sana na ndio vikwazo ckuiz
#Eliya Umekuwa ukitumikaje ndani ya uwanja?
#Mroki Ni mchezaji kiraka nacheza winga zote mbili midfeld zote namba 10 beki kulia na kushoto But kweny team yangu wananitumia second alstriker winga zote mbili na kiungo mshambuliaji
#Eliya Mwenendo wa timu ukoje?
#Mroki For now ligi ndio kwanza imeanza game tumecheza chache then team sio kubwa sana
#Eliya lugha yao unaijua sasa(thai)
#Mroki Yap saivi naongea lugha yao ankuisikia fresh
#Eliya neno niombeeni watanzania wenzangu unasemaje?
#Mroki Kuandika ndio kazi but baaz najua ya kuandika kama salama "Sawadee Kap "kama habari gani au hamjambo
Kuandika wanatumia tarakim zao ningumu km kichina ðŸ˜ƒðŸ˜ƒ
Maongezi yetu yaliishia hapo.

No comments